[emoji1787][emoji1787] makende, haya si ndio mnapenda kunyonya
[emoji1787][emoji1787] unapenda bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumekucha
Wapi nilisema napenda kunyonya?
Hii ni point sana niliwahi ona kwenye sherehe maji ya walionawia mikono watu yanahifadhiwaUkienda salon yoyote kabla ya kunyoa sali kwanza jikabidhi kwa Yesu Kristo, pia kabidhi nywele zako kwa Yesu. Jifunike kwa Damu ya Yesu, alafu nenda kanyoe.
Nywele zako na mwili wako vitakuwa salama dhidi ya ufedhuli unaofanywa kwenye salon na vinyozi ambao wengi ni maajenti wa kuiba nyota za watu na kuzipeleka kuzimu.
[emoji1787][emoji1787] unapenda bana
Hii nchi ngumu sana mkuuYaani hela ya mkopo ukaanza nayo kwenye kwichikwichi kwanza aiseeee[emoji38][emoji23]
Wazo zuri,nalichukua.Nikimaliza kunyoa hata nywele sioshi namkimbilia wife wangu maana ni haki yake kunihudumia
Kwa hiyo sasa mkuu tufanyeje ?i.Barbershop ni madanguro ya kisasa, yaani wale wanawake siyo wa kugusa hata kidogo kwa mwanaume anayejitambua, siyo kubinya tu vichunusi, bali wanalala na wanaume chungu mzima aisee
[emoji41][emoji41]Siku watabinya na ngogwe ujipatie wadudu wako
Ndio hivyo mkuuDaah
Nilikuwa nakula hapa imenibidi nihairishe kwa muda.
Usaha tena kha
Mhhhh!!,Mimi sijui.[emoji1787][emoji1787] makende, haya si ndio mnapenda kunyonya
Tena atakua mwalimu (joking)Nature yako wewe ni mchafu sana, unaonekana unafua boxer baada ya miezi mitatu
Ushindi wakati ndio nilioutaka, tumalizie zanzi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] tufanye umeshinda, hapo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2],SureTena atakua mwalimu (joking)
Umeona eenhh?!!,Inafika Wakati hata km nywele hazijaota vizuri unarudi tena Saluni.Kwa kweli hawa wadada huwa nawashukuru kwanza unakuta kichwa baada ya kuwekwa kwenye kiegemeo kinapumzishwa juu ya Manyonyo basi kila swali nikiulizwa najibu tu hewala.
Ushindi wakati ndio nilioutaka, tumalizie zanzi[emoji1787][emoji1787]
Ungempa hela ya soda!Wakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Na vidole vilaini vinazungushwa ndani ya masikio.Kwa kweli hawa wadada huwa nawashukuru kwanza unakuta kichwa baada ya kuwekwa kwenye kiegemeo kinapumzishwa juu ya Manyonyo basi kila swali nikiulizwa najibu tu hewala.