Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Sio wanawake tu. Hata sisi wanaume kuna ambao tuna ofisi ili tusiulizwe unapata wapi pesa. Mtu ana duka la spea mpaka zina kutu ila hafungi. Kodi ya pango inatoka sehemu nyingine kabisa.
 
Ni changamoto sana kwa baadhi yao, sio rahisi hata kidogo mkuu. Tuishie hapo, tuzidi kuombeana na kuwaombea binti zetu coz hakuna anayetaka maisha magumu.
Wengi wanapenda mambo marahisi tu
 
ISHI NAO kwa akiliuwezi kuwaiga hao
 
Hakuna anayependa maisha magumu,
Muhimu ni wao kufurahia maisha yao,
Sio rahisi kua na hayo maduka, kumaintain hayo maisha
Kama unabisha fungua wewe!....

Naheshimu sana mtu anayetafuta pesa bila kujali anazipataje...
Hapo kwenye bila kujali anazipataje umemaliza kila kitu
 
Hawachukui cha mtu bila ridhaa ! Umemaliza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…