Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Hatari sana mkuu
 
Mjini msingi kiuno,,,,huyo anajua kujiongeza
 
nimecheka sana hapa kwa sauti kubwa alafu usiku huu, jirani yangu morogoro naye alikuwa hivyohivyo...aliweka jeans za kiume na tshirts nje anapaki IST, mtaa wetu biashara haina mzunguko mkubwa ila alikuwa anapambana mimi nilikuwa simuelewi maana hakuolewa kapanga nyumba na fremu kapanga jamani mjini kuna vituko sana ndio maana tunachelewa kuzeeka...
 
tukiachana na nadharia za kila siku: wengine watoto wa ma don/watu wazito
kuna wajane wa early 40 ukute marehemu amemwachia fungu!
wengine waume zao wana migodi huko/ wahujumu uchumi
mambo ni mengi ndugu zangu maisha hayafanani
Ene wei,,,naona umepambana kinoma kuwatafutia engo ya kuwatetea
 
Hatr alafu ukute frem hela ndefu ,,,, mfano huyu jiran yangu mwenye min super market frem imechangamka bei balaa,,,,ni katikati ya mji,,,, yeye kachukua 2 katoboa kati kaunganisha ikAwa moja kubwa,,,,lakn anachofanya humo kama biashara hakieleweki ,,,, !
 
Weee jamaaa .. Dar wadada wengi ni Malaya wa Telegram
Trust me.
 
Kachunguze je tundu zake mbili zote ziko salama?
 
Kuna mabwege wanalipa bills in exchange 4 uteleziiiiiiiiii
 
Asilimia kubwa ukichunguza hizo hela za mtaji utakuta nyingi za kutakatisha yan utakuta anasponyo wake anauza madawa, au anafanya biashara haram halipi kodi, magendo kama Uuzwaji madini kiholela nje ya nchi, Counterfeit yan uuzwaji wa Vitu Bandia au ndo hao wanasiasa kama wabunge wanaolipwa 18m au kutumia pesa za mifuko ya jimbo mil40 kwa mwezi kuhongea hao dada zetu au hela za elephant project kama hela za Madarasa ya Covid za nchi yetu yan kimsingi mambo ni mengi alafu utashangaa kuna TAKUKURU,TISS JESHI,POLISI, MAHAKAMA Yani kiuhalisia mambo machafu ni mengi sana. Yan hata biashara ya kuuza watu naimani Human Traficking naiman itakua inafanyika ila kisirisiri sana
 
Sio wanawake tu, bali pia Wanaume....kuna watu wanafanya Kazi ambayo akiulizwa anafanya kazi gani hawezi kujibu hilo swali, sasa ili aweze kukujibu anazugia kwenye biashara,na mara nyingi hata customer care yake inakuwa mbovu sana, yaani mteja ukaingia na NYODO zako, umekwisha,... unaweza pata hata KOFI kama sio tusi,.....😂, hao kwao mteja sio mfalme kabisaaaaa.... mjini AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…