Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana mkuuKaka Yangu alioa mwanamke akamwambia kapata mkopo
nipeleke nijue ulipochukua ola
akafika SIKU kamwambia amefungua duka anachukua nguo krkoo anauza mwenge ....
akakaa kimya SIKU akamnyatia MPAKA mwenge akakuta ana duka limejaa mzigo WA hataree.
akaamua kukesha nae wakiuza...kaja jamaa kibopa kauliza huyuu nani
Binti akamwambia sorry sikuwahi kwambia niliwahi kuolewa
mumee taharuki eehe huyu nani....kikaumana wakaishiaa talaka
jamaa akamtimua Binti anauza mitumba karume saahizi.....
Kuombeana TU wote tuna mapungufu
Mjini msingi kiuno,,,,huyo anajua kujiongeza[emoji23]
Kuna mmoja anauza mahitaji ya nyumbani Hapo tabata side ya kitamba cheupe yani apo uki jumlisha vitu vyote imezid sana ni Laki 5
Sasa Uyo dem ana tumia iphone 15[emoji23]
ni ana shape balaa[emoji23][emoji1787] unaweza enda kununua pipi ukajikuta hubebi chenji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata hapo alipokua mwanaume, anaweza kufanya hayo yote km akitaka.Bila shaka unatamani nawe kuwa mwanamke.....
Ufungue duka, ukae na mashost zako, mle mnywe....
Ukisema wewe nakuamini.tukiachana na nadharia za kila siku: wengine watoto wa ma don/watu wazito
kuna wajane wa early 40 ukute marehemu amemwachia fungu!
wengine waume zao wana migodi huko/ wahujumu uchumi
mambo ni mengi ndugu zangu maisha hayafanani
Ene wei,,,naona umepambana kinoma kuwatafutia engo ya kuwateteatukiachana na nadharia za kila siku: wengine watoto wa ma don/watu wazito
kuna wajane wa early 40 ukute marehemu amemwachia fungu!
wengine waume zao wana migodi huko/ wahujumu uchumi
mambo ni mengi ndugu zangu maisha hayafanani
Hatr alafu ukute frem hela ndefu ,,,, mfano huyu jiran yangu mwenye min super market frem imechangamka bei balaa,,,,ni katikati ya mji,,,, yeye kachukua 2 katoboa kati kaunganisha ikAwa moja kubwa,,,,lakn anachofanya humo kama biashara hakieleweki ,,,, !nimecheka sana hapa kwa sauti kubwa alafu usiku huu, jirani yangu morogoro naye alikuwa hivyohivyo...aliweka jeans za kiume na tshirts nje anapaki IST, mtaa wetu biashara haina mzunguko mkubwa ila alikuwa anapambana mimi nilikuwa simuelewi maana hakuolewa kapanga nyumba na fremu kapanga jamani mjini kuna vituko sana ndio maana tunachelewa kuzeeka...
Weee jamaaa .. Dar wadada wengi ni Malaya wa TelegramUnakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!
Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.
Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?
Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.
Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.
Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Kachunguze je tundu zake mbili zote ziko salama?Unakuta,

Kuna mabwege wanalipa bills in exchange 4 uteleziiiiiiiiiiUnakuta,

Hili la masponsa ndiyo jibu sahihi la swali lako. Fremu ya 1M inatumika tu kama anuani ya kuwakamata wakware ili watoe mpunga.unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Akae na mashost zake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata hapo alipokua mwanaume, anaweza kufanya hayo yote km akitaka.
Wapo Ila utakachopitia hakuna mwanaume wa kukupa pesa ndefu kirahisi utaigharamia wengi wao wanafanyiwa vitendo tofauti Na maumbileMi nilidhani siku hizi wanaume mmeacha kuhonga pesa ndefu, kumbe bado wapo?
Kwann asikae nao? [emoji23][emoji23][emoji23]Akae na mashost zake?