Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili tofauti. Unakuta mdada labda ulisoma nae sasa mmechat ukaona profile ukasema ngoja nirushe nyavu na wewe hujamuona muda. Sasa akija yani shape siyo yenyewe, uso sio wenyewe na hata rangi siyo yenyewe.
Ilisha ni cost like two months ago nili import mdada kutoka Dar na nikaji mwambafai kwa marafiki kwamba nina consignment nikachukua na hoteli ya bei ghali ila sasa alivyokuja seriously hata kumla siku mla aka kaa siku tatu nikamtoa akarudi zake Dar. Seriously wekeni picha zenu halisi kwenye face book, instagram, profile, status kama kukutaka nikutake kama ulivyo.