Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Wewe vipi ulipita salama!
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe vipi ulipita salama!
Toa neno basi....Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaangalie tena dp ya KASSIM WA TANGA .
Naona ulikuwa unakaribia kuzirai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone kwanza
Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
Hata humu JF wanaume tuko makini sana na wewe.Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
Umedanga sana Demi, kama haujanunua hata ka Vits, inafaa tu Ukalime.
Raymond ReddingtonSijapita kabisa
Redngton haha toa kitu
HahahahahahaNaona ulikuwa unakaribia kuzirai
hata mimi nilihisi tu lazima utakuwa weweSIJUI UTAACHA LINI KUNISEMA...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilianza kujihisi ni mimi ila kwa vile huyo ana macho makubwa basi siyo mimi.
Kwani Mkuu wewe ni kibonge na upala unao?SIJUI UTAACHA LINI KUNISEMA...
Eeeh shem wangu sio kibonge huyosio muhusika kweli wewe?
Eeeeh hahahahaha jamani inabidi nije pm... Hivi mimi nipo humuu au!?? Mbona sijui chochoteHhhaaa akisoma ashajijua siku hizi ana hasira na wanawake huyo kumbe mmeshamdangia