Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.

Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.

Mlilie njaa zako vya kutosha.

Jiandae kuja kuumbuliwa huku.

Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa

1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.

Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.

Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.

Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .

Location : Kufata salary NMB Mazengo.
Hapo papuchi ishaliwa na kuhadithiwa tayari, @Demis njoo Pm mm sitakutangaza
 
Hakuna kitu inawauma wanawake kama kuliwa papuchi bure kwa miadi angelipwa unono
 
Huo ndio uchoyo wenyewe...wewe umetanua naee umekula hela zakeee ila wenzako hutaki wapate bahati? ebu waache na wenzio waoshe nyota,yako ishang'aaa acha na za wenzio zioshwe.

Ukipenda mtelezo jiandae na matokeo yake..ulitaka akikumega akae nalo rohoni? Ndo kashakutangaza sasa na tushamjua so uszibie wenzako riziki
 
Demiss huyu mtu unayemuelezea hapa mbona anafanana na Mshanajr?

Back
Top Bottom