Wadada wamezidi kuomba pesa

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,basi hao wengine watakuwa hawakati dau vizuri ,ukikata dau vizuri wala hauombi unapewa tu BUFEE na wewe ujisevie.
Maisha yenyewe yapo wapi ya kufanya upumbavu kama huo
 
Kuna mmoja nilifahamiana nae kama wiki 3 zimepita. Baada ya siku 3 anataka 200k.
Yaani hata vocal sijapiga.
Daah..yani wananjaa mbaya wanakuwahi juu juu hata kabla ujaingiza vocal mi nikishasoma mchezo kama huo huwa nakimbia
 
Hadi Maji kaomba hapo tena kuuziwa Yan hana makuu kabisa

Mleta uzi sijui apewe Nini kingine,kapewq wa size ya buku 2 na ndoo ya Maji bado kamfungulia uzi hapa ,je akipewa wa laki 1 si atambandika matangazo mtaa mzima
Hivi nyie amjasoma hapo kodi ya nyumba ishawasha endiketa au akili zenu ni ndogo kiac gani
 
Acha upuuzi wewe huyo manzi mi nakaa nae nyumba moja kodi yake ni 80k/mounth sasa piga miezi 6 ni bei gani mkuu
 
Hiyo buku mbili nilishampa bado kodi ni 80k kwa mwezi piga miezi 6 ni bei ganI halafu kuna cm tayari nishapewa mzigo wa kuitengeneza inatakiwa 90
 
Daah mbona hata dada wa watu hana makuu? Afu mbili wakuu?
Wewe haujui

Kuna sehemu nilikaa hivi nakunywa maji, kakapita kabinti kabiichi nadhan ni miaka 16/17 ila kamejichora tattoo kwenye titi kakaniomba 300/- kanasema kamepungukiwa, nikasema nna buku kakasema kataomba chenji dukani, nikatoa wallet nikachomoa buku, kumbe kakaziona pesa zilizopo kwenye wallet, kakaanza kujichekesha yaan kakataka 300/- iwe 30,000/- muda ule ule, mjini shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…