Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Mwanamke anakuomba buku mbili halafu anaomba umuuzie maji bila shaka ukikubali kumuuzia tegemea kuombwa hela ya kununulia hayo maji.Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.
Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
Sema mwamba unatufelisha sana,unaombwa buku mbili umekimbilia kufungua uzi? Halafu unawezakuta hiyo kodi yenyewe ni 10k