Wadada wamezidi kuomba pesa

Wadada wamezidi kuomba pesa

,
Nilikua na kademu kalevi, muda wote hela ya pombe, nikakaacha nikapata church girl labda kuna unafuu, ohoo huyu ndio mtu wa marejesho daily...

Nimeona nitulie tu nilee wanangu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu anakuombaje hela mara mbili Kwa siku moja au ni uswaz sana na wote hamna kazi mnakuwa mmeshnda home
Labda kwa mazingira ya huyo mwamba huyu mimi naonana nae usiku pale naporud home nayeye namkuta tayari katoka job
 
Mkuu nipe namba zake matatzo kusaidizana[emoji41][emoji41] mtu mwenyew anaomba mpaka elfu 2 huyu hawez omba Lak 2
Huyu anaendana na hali ya uchumi wa sasa, nashangaa jamaa analalamika, angepigwa hiki je ?👇😆
FBUnTQsWUAIP49a.jpeg
 
Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.

Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.

Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
🤣🤣🤣 nimecheka sana kwenye hizo meseji mwamba anaombwa buku mbili anamjibu bidada "wacha wee" jibu alilopewa sasa😅
 
Nilikua na kademu kalevi, muda wote hela ya pombe, nikakaacha nikapata church girl labda kuna unafuu, ohoo huyu ndio mtu wa marejesho daily...

Nimeona nitulie tu nilee wanangu.
acha bas unataka utimize kile kimsemo et !single father"!
Jichanganye uone hiyo elfu mbili ni ya kuzugia tu ili ujichanganye uombe mbususu halafu ushushiwe rundo la matatzo
akiomba aftatu maana yake anataka ujiongeze! Ukituma hyohyo mmh
 
Back
Top Bottom