Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu bora upige usepeACHA kabsa tabia za kuweka mahusiano utajikuta na vimada hata Saba na wote wanakupga mzinga same day
Ndo hvoKweli mkuu bora upige usepe
🤣🤣🤣🤣🤣Nilikua na kademu kalevi, muda wote hela ya pombe, nikakaacha nikapata church girl labda kuna unafuu, ohoo huyu ndio mtu wa marejesho daily...
Nimeona nitulie tu nilee wanangu.
Nimeshangaa 😂😂Wewe ndio umereply "hapana jamani"???
Wameanza kuingiasubiri omba-omba wenzake waje wakuvae na mapovu kwenye uzi hapa
Labda kwa mazingira ya huyo mwamba huyu mimi naonana nae usiku pale naporud home nayeye namkuta tayari katoka jobMtu anakuombaje hela mara mbili Kwa siku moja au ni uswaz sana na wote hamna kazi mnakuwa mmeshnda home
Hiyo conversation unaweza kusema mtu na shosti yake...mara "Wacha wee,hapana jamani"Nimeshangaa 😂😂
Hapo sasa tena kapanga chumba cha 80 cha gharama kuliko hata nachoishi mwambatatizo hawataki kukaa kijijini wakalime;huna hela ya kodi unapanga nyumba ya kazi gani?
Ndio mkuu nlikuwa namuenjoyWewe ndio umereply "hapana jamani"???
Mpe buku 2 hiyo sasaNdio mkuu nlikuwa namuenjoy
Mmeanza majunguNimeshangaa 😂
Huyu anaendana na hali ya uchumi wa sasa, nashangaa jamaa analalamika, angepigwa hiki je ?👇😆Mkuu nipe namba zake matatzo kusaidizana[emoji41][emoji41] mtu mwenyew anaomba mpaka elfu 2 huyu hawez omba Lak 2
Nilikuwa namuenjoy tu si unajua madem ni kama watotoHiyo conversation unaweza kusema mtu na shosti yake...mara "Wacha wee,hapana jamani"
🤣🤣🤣 nimecheka sana kwenye hizo meseji mwamba anaombwa buku mbili anamjibu bidada "wacha wee" jibu alilopewa sasa😅Kiukweli hali ni mbaya dada zetu wanaomba pesa kupitiliza just imagine mtu ujamtongoza ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako txt zinaingia za kuombwa pesa tu.
Mwengine ujamtongoza na anataka umlipie kodi na hapo hapo cm yake oppo imevunjika kioo inatakiwa 100k hivyo vyote nimepewa mimi kisa tu nikwamba nilionyesha yale mazingira ya kumuhitaji kwa kipindi cha nyuma.
Nilivyoona naanza kuegemewa nikafuta huo mpango,
Ila sasa pamoja na kufuta huo mpango bado ananing'ang'ania ananipiga vibomu kila saa utadhani mimi mme wake.
Hv mtu huyu nimfanyeje??
Au sio mkuuMimi napenda Demu aniombe pesa mkuu....Kama vipi nipe namba yake nimpatie pesa!! Hao ni urithi wa kwetu.....Demu ukiwa unampa hela na yeye lazima akupe yote!!
acha bas unataka utimize kile kimsemo et !single father"!Nilikua na kademu kalevi, muda wote hela ya pombe, nikakaacha nikapata church girl labda kuna unafuu, ohoo huyu ndio mtu wa marejesho daily...
Nimeona nitulie tu nilee wanangu.
akiomba aftatu maana yake anataka ujiongeze! Ukituma hyohyo mmhJichanganye uone hiyo elfu mbili ni ya kuzugia tu ili ujichanganye uombe mbususu halafu ushushiwe rundo la matatzo
Hiyo nilishampa muda mrefuMpe buku 2 hiyo sasa