Wadada wamezidi kuomba pesa

Wadada wamezidi kuomba pesa

Mimi niliamua miaka kadhaa iliyopita kuwa nimemua kupiga puli. Hayo maamuzi sijawahu kujuta. Nina miaka kadhaa sijaiona K live. Natunza hela huko mbeleni nikichoka kuomba kazi na ajira portal nianze biashara yoyote halali. Puli inasaidia sanaaaaa. Hakikisha pumbu zipo empty kabisa 😂😂😂
that makes two of us
 
2000 nilishampa ila hapo nishaambiwa cm mbovu kurekebisha ni 90 na kodi ya nyumba kama hivo
Ehee kama ni mtu wako unamfanyia tu mbona kawaida ,shebby wa zamaradi kampa mkewe Range ya 50m. Ki_imani na Kisheria Mwanamke ameumbwa kutimiziwa mambo yake na m/me! Kisheria unaambiwa hata mwanamke akiwa na kipato kikubwa kuhudumia familia kwake ni option.
 
Hii Mbona ishaletwaga humu nyie nao!!
Sema content hapo ni;


wanawake tuache uomba omba!
 
Wewe una matatizo sio bure Yaani kuombwa buku mbili ndio imekata hamu ya mbususu? Je ukiombwa laki moja c utakuwa hanithi !
Shenzi
Nini ujaelewa mkuu kwani ujaona kirungu cha kodi kipo mlangoni
 
Wakuu lazima tukubaliane hii ni nchi maskini, watu hawana vipato...kama wanaume tu wamechoka je dada zetu itakuwaje.

Wengi elimu hamna na hawana kaz za kueleweka, kwahiyo wakiomba sio kwamba wanaigiza, ila shida wamejaa janja janja, unakuta mtu kuliwa anasema mapema sana, ila hela anazitaka [emoji3]

Mi nshajiwekea principle hata buku huwa situmi, akitaka hela basi aifate. Hataki bas atulie tu.

Mmoja juzi katumia namba mpya, anaomba elf 4, nikamjibu njoo uchukue..akajibu nije nichukue wap wakati mi nipo Musoma, nikamuuliza kwan we umeomba wapi? Ikabidi apige ndo akaanza kujitambulisha maneno kibao.

Sasa mtu yupo Musoma si aombe hela huko huko, Dar na Musoma wap na wap?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom