Wadada wamezidi kuomba pesa

Wadada wamezidi kuomba pesa

Vijana pamoja na kuhonga, msisahau kujiwekeza. Wanawake wapo tu na huwa ni viumbe hawaridhiki. Ukisema umridhishe kwa kumtoa out, kumspoil kwa 100k+ or so kila weekend, itafikia kipindi akiona umeyumba kiuchumi atahama kwa mwingine. Siku hizi wapo na msemo, "tafuta pesa", yes tafuta pesa ila sio kwa ajili yao...kwa ajili yako na future yako.

Jiwekeze, fungua miradi yako, hata ya kuku, chips, genge, fanya mishentown zako ili uingize hela na sio kutoa tu. Tafuta mwanamke mtulivu, anayeelewa kuishi ni nini, sio mdada kila siku anabadilisha viwanja(hawazi kesho), utaishia kulipa kodi ya nyumba hadi ufike 55yrs, utapanda boda na daladala hadi ukome.

Sisemi watu wasifurahie maisha, ila say NO to stupid mizinga, waza kujiwekeza, hizo buku mbili wanazokudharau nazo, ukiziweka kwa mwezi ni 60k, kwa mwaka ni 720k. Na ukiona mtu anadharau kiwango fulani cha pesa, ujue ana unyafuzi katika understanding yake.

Tuishi, tufurahie maisha, ila tuwaze uzee wetu tusije kusumbua watoto wetu tukizeeka.
 
Nadhani hii ndio comment bora katika hii thread hongera sana bro.
 
Daah..yani wananjaa mbaya wanakuwahi juu juu hata kabla ujaingiza vocal mi nikishasoma mchezo kama huo huwa nakimbia
Nilikimbia.
Siku wanacheza England na Iran WC kuna mmoja alikosea namba (sijui kama alikosea kweli au alikuwa anajaribu) nikakuta missed call. Akaniuliza mwenye simu yupo wapi nikamjibu ndio mimi namuuliza upo wapi akasema yupo Dar Makumbusho. Unajishughulisha na nini akasema mwanafunzi UDSM. Nikaomba tuonane jioni akakubali. Jioni tukaonana (havutii hata kidogo) baada ya story kidogo sana maana hakuwa namvuto kwangu nikamwambia naondoka ni sehemu nawahi hapohapo akaniambia sina hela ya kula. Nikampa 10k.
Akawa ananisumbua sana kila wakati simu. Siku moja nampigia baada yeye kunisumbua sana nikamwambia nataka kupiga. Ananiambia ila namimi nina shida ya 150k utanipatia. Sijawahi nyanyua simu hata kidogo kumtafuta wala kupokea.
 
Back
Top Bottom