AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Maisha magumu ndugu yangu. Na hawataki kukaa makwao. Wanataka kupanga now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaf wanataka kujiita super womanMaisha magumu ndugu yangu. Na hawataki kukaa makwao. Wanataka kupanga now.
Nadhani hii ndio comment bora katika hii thread hongera sana bro.Vijana pamoja na kuhonga, msisahau kujiwekeza. Wanawake wapo tu na huwa ni viumbe hawaridhiki. Ukisema umridhishe kwa kumtoa out, kumspoil kwa 100k+ or so kila weekend, itafikia kipindi akiona umeyumba kiuchumi atahama kwa mwingine. Siku hizi wapo na msemo, "tafuta pesa", yes tafuta pesa ila sio kwa ajili yao...kwa ajili yako na future yako.
Jiwekeze, fungua miradi yako, hata ya kuku, chips, genge, fanya mishentown zako ili uingize hela na sio kutoa tu. Tafuta mwanamke mtulivu, anayeelewa kuishi ni nini, sio mdada kila siku anabadilisha viwanja(hawazi kesho), utaishia kulipa kodi ya nyumba hadi ufike 55yrs, utapanda boda na daladala hadi ukome.
Sisemi watu wasifurahie maisha, ila say NO to stupid mizinga, waza kujiwekeza, hizo buku mbili wanazokudharau nazo, ukiziweka kwa mwezi ni 60k, kwa mwaka ni 720k. Na ukiona mtu anadharau kiwango fulani cha pesa, ujue ana unyafuzi katika understanding yake.
Tuishi, tufurahie maisha, ila tuwaze uzee wetu tusije kusumbua watoto wetu tukizeeka.
Nilikimbia.Daah..yani wananjaa mbaya wanakuwahi juu juu hata kabla ujaingiza vocal mi nikishasoma mchezo kama huo huwa nakimbia
hua nakosaga majibu hapa, kuna mmoja alinambia 'blah blah blah kodi yangu is due...blah blah'Na hawataki kukaa makwao. Wanataka kupanga now
Akikaa kwao atashindwa kudangahua nakosaga majibu hapa, kuna mmoja alinambia 'blah blah blah kodi yangu is due...blah blah'
nikamwambia , kwanini ulihama nyumbani ? hakunijibu tena