Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #181
Unajuaje kama sijafikisha😆😆😆
Sio kila mtu anajiwekea target ya kuolewa ujue
Mara nyingi waongeaji wana sifa ya kuwatawala waume zao, kwa kutumia kila njia.Usio mwanamke muongeaji wengi displine sifuri
Mbona umeandika kwa uchungu hivi 😆 acha hizi habariMfano umefikisha miaka 50 uko singo; kwa bahati mbaya labda huna mtoto; imetokea umelazwa hospitali, unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakayekuwa anakusafisha?
Najua kuna kitu kimekugusa hapo, na wengi huwa hawapendi kukisikia, lakini maisha ndio yako hivyo, ndio maana unapotafuta mtu wa kuishi naye kuna vitu vingi vya kuangalia, si pesa tu, ni zaidi ya pesa.Mbona umeandika kwa uchungu hivi 😆 acha hizi habari
Sawa mkuuNajua kuna kitu kimekugusa hapo, na wengi huwa hawapendi kukisikia, lakini maisha ndio yako hivyo, ndio maana unapotafuta mtu wa kuishi naye kuna vitu vingi vya kuangalia, si pesa tu, ni zaidi ya pesa.
Uende hapo kwa jirani uchukue juisi ya machungwaSawa mkuu
Chungwa la nini na beer nani anyweUende hapo kwa jirani uchukue juisi ya machungwa
Mchana huu unataka utembee ukiyumba yumbaChungwa la nini na beer nani anywe
We unaangalia sifa ipi kuu lazima awe nayo?Hizo sifa zote amekua malaika?
Kwani dhambiiiMchana huu unataka utembee ukiyumba yumba
Yes sure,Wanawake wenye quality za kuolewa huwa wanagombaniwa sana sokoni.
Ngumu sana kukutana na mwanamke alienyooka anaefika miaka 30 hajaolewa. Labda awe anakaa porini ama sehemu ambayo hakuna wanaume.
Ila akae Dar kwa mfano wife material anaolewa mapema sana
Labda yeye mwenyewe mwanamke awe hataki kuolewa kwa muda huo
Kwa malezi ya Sasa ni ngumu kupata sifa hizo kilichopo wanaume wajifunze tu uvumilivu ili ndoa iende.Hizo sifa zote amekua malaika?
Wanaweza geuka baada ya ndoa japo wenye wazazi wote wawili uogopa kuwaaibisha wazazi wao wanakuwa na maadili ya ndoa.Yes sure,
Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu
Yes sure,

Hao wawili je wote wanatafuna hapo au wanauziwa mbuzi kwenye guniaYes sure,
Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu
Ebu piga 4 nikuone unavyotembea 😀Kwani dhambiii