Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #181
Unajuaje kama sijafikisha😆😆😆
Sio kila mtu anajiwekea target ya kuolewa ujue
Mfano umefikisha miaka 50 uko singo; kwa bahati mbaya labda huna mtoto; imetokea umelazwa hospitali, unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakayekuwa anakusafisha?