Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Unajuaje kama sijafikisha😆😆😆
Sio kila mtu anajiwekea target ya kuolewa ujue
Mfano umefikisha miaka 50 uko singo; kwa bahati mbaya labda huna mtoto; imetokea umelazwa hospitali, unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakayekuwa anakusafisha?​
 
Leejay49

Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.

Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku

Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.

Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.

mitume na manabii wa uongo wanatumia huo msemo ili kuwavuta waendelee kupiga pesa zenu

NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
 
Mfano umefikisha miaka 50 uko singo; kwa bahati mbaya labda huna mtoto; imetokea umelazwa hospitali, unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakayekuwa anakusafisha?​
Mbona umeandika kwa uchungu hivi 😆 acha hizi habari
 
Mbona umeandika kwa uchungu hivi 😆 acha hizi habari
Najua kuna kitu kimekugusa hapo, na wengi huwa hawapendi kukisikia, lakini maisha ndio yako hivyo, ndio maana unapotafuta mtu wa kuishi naye kuna vitu vingi vya kuangalia, si pesa tu, ni zaidi ya pesa.
 
Wanawake wenye quality za kuolewa huwa wanagombaniwa sana sokoni.

Ngumu sana kukutana na mwanamke alienyooka anaefika miaka 30 hajaolewa. Labda awe anakaa porini ama sehemu ambayo hakuna wanaume.

Ila akae Dar kwa mfano wife material anaolewa mapema sana

Labda yeye mwenyewe mwanamke awe hataki kuolewa kwa muda huo
Yes sure,

Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu
 
Hizo sifa zote amekua malaika?
Kwa malezi ya Sasa ni ngumu kupata sifa hizo kilichopo wanaume wajifunze tu uvumilivu ili ndoa iende.
Angalia mapungufu yenye nafuu basic mfano asiwe mwenye hasira,muongeaji sana, Tabia hizo utaharibu tu cheti chako Cha ndoa na kutesa bure watoto wako talaka haikwepeki kwa wa Tabia hizi.
Fanya tafiti wanawake wangapi wenye hasira na waongeaji Wana ndoa imara,kama sio za distance,ujane mume alikimbia kitambo ugomvi na makelele.
 
Yes sure,

Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu
Wanaweza geuka baada ya ndoa japo wenye wazazi wote wawili uogopa kuwaaibisha wazazi wao wanakuwa na maadili ya ndoa.
 
Yes sure,

Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu

Hao jamaa nao wana vituko. Why wanahangaika na wazazi badala ya kumu win binti kwanza?

Ama pia binti kama amenyooka na wewe mwanaume wazazi wake wanakujua na una nia ya kweli kumuoa huyo binti.

Unapeleka posa moja kwa moja nyumbani kwao bila kumtongoza msichana,, Binti akaikatae posa yako kwa wazazi wake kwamba hakutaki.

Hapo ndipo unajua haikuwa riziki yako
 
Ndoa ni photocopy jinsi wazazi wawili walivyoishi ndivyo binti atakuwa sawa na kule alichoshuhudia kwa wazazi wake.
Mfano
1.Kama wazazi wanapigana mbele za.watoto bila aibu kwa maana wote ni kambale au mmoja Hana busara.
Watoto nao wakiolewa bila kupigwa Kuna kitu wanakosa hadi wapigwe.
2.Kama wazazi ni wakarimu na ni watu wa ibada ndivyo hivyo watakuwa ndoani.
3.Kama wazaz hawadumu kwenye ndoa nao hawawezi dumu kwenye ndoa
4.Kama wazazi ni wakali na wa hasira nao watakuwa hivyo hivyo.
Usioe mtu bila kuchunguza asili yake, utaharibu chet chako Cha ndoa.
Usione mtu anaikimbia nyumba yake au kuoa mke wa pili au kushinda bar kuliko home wote hawa ni watumwa wanasaka uhuru wapate amani ya moyo kwa sababu ya kukosea kuoa.
 
Yes sure,

Nimeshuhudia vita hapahapa dar. Jamaa mmoja wa bank mwingine wa TRA, mmoja akawa anajipendekeza kwa baba wa binti mwingine anajipendekeza kwa mama wa binti. Huyo binti anafaa kweli kuolewa, kamemaliza chuo lakini elimu yake haijaondoa maadili yake. Nasubiri mshindi nije nikale pilau la nguvu maana hao jamaa wote nawafahamu
Hao wawili je wote wanatafuna hapo au wanauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom