Wadada wanaofaa kuolewa

Wanaweza geuka baada ya ndoa japo wenye wazazi wote wawili uogopa kuwaaibisha wazazi wao wanakuwa na maadili ya ndoa.
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaa

Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?

Na hii vita ni ya chinichini hata wazazi sijajua kama washajua wanaandaliwa kimtego, haya mambo yapo hasa kwa mabinti wa kiislam na kiarabu
 

Shikamoo ni salamu ya umri.

Binti mdogo kumuamkia mtu aliye mkubwa kwake sio kosa.

Pia wanaume wanaoa wanawake wadogo hata miaka zaidi ya kumi chini yao bila shida.

Hoja ni kwamba vita wanaipigana kizembe hao wanaume..

Wape ushauri wa kupeleka posa nyumbani kwa huyo binti.

Yaani mtu unataka kumuoa halafu unamuogopa . Ndoa ni heshima .

Hao wazazi wa binti hawawezi chukia mtu akileta posa kwao. Wataongea na binti yao wao wenyewe
 
Asante kipenzi nimekuelewa 😊🤗...barikiwa sana🙏🏼
 
Sasa nimekuelewa rafiki yangu...barikiwa sana😊🤗
 
Mbona unanichanganya sasa 🥴🥴🤔
 
Inaonekana hayo ni mapungufu ya uliye nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…