Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Wanaweza geuka baada ya ndoa japo wenye wazazi wote wawili uogopa kuwaaibisha wazazi wao wanakuwa na maadili ya ndoa.
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaa

Hao jamaa nao wana vituko. Why wanahangaika na wazazi badala ya kumu win binti kwanza?

Ama pia binti kama amenyooka na wewe mwanaume wazazi wake wanakujua na una nia ya kweli kumuoa huyo binti.

Unapeleka posa moja kwa moja nyumbani kwao bila kumtongoza msichana,, Binti akaikatae posa yako kwa wazazi wake kwamba hakutaki.

Hapo ndipo unajua haikuwa riziki yako
Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?

Na hii vita ni ya chinichini hata wazazi sijajua kama washajua wanaandaliwa kimtego, haya mambo yapo hasa kwa mabinti wa kiislam na kiarabu
 
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaa

Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?

Na hii vita ni ya chinichini hata wazazi sijajua kama washajua wanaandaliwa kimtego, haya mambo yapo hasa kwa mabinti wa kiislam na kiarabu

Shikamoo ni salamu ya umri.

Binti mdogo kumuamkia mtu aliye mkubwa kwake sio kosa.

Pia wanaume wanaoa wanawake wadogo hata miaka zaidi ya kumi chini yao bila shida.

Hoja ni kwamba vita wanaipigana kizembe hao wanaume..

Wape ushauri wa kupeleka posa nyumbani kwa huyo binti.

Yaani mtu unataka kumuoa halafu unamuogopa . Ndoa ni heshima .

Hao wazazi wa binti hawawezi chukia mtu akileta posa kwao. Wataongea na binti yao wao wenyewe
 
Leejay49

Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.

Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku

Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.

Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.

mitume na manabii wa uongo wanatumia huo msemo ili kuwavuta waendelee kupiga pesa zenu

NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
Asante kipenzi nimekuelewa 😊🤗...barikiwa sana🙏🏼
 
Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.

Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku

Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.

Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.

NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
Sasa nimekuelewa rafiki yangu...barikiwa sana😊🤗
 
Mbona unanichanganya sasa 🥴🥴🤔
 
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.

Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
  • Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima.​
  • Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k​
  • Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa​
  • Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi​
  • Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani​
  • Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika​
  • Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k​
  • Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi.​
  • Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela.​
  • Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana.​
  • Anapenda kushiriki ibada katika dini yake​
Kama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.​
Inaonekana hayo ni mapungufu ya uliye nae
 
Back
Top Bottom