Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Acha basiEbu piga 4 nikuone unavyotembea 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basiEbu piga 4 nikuone unavyotembea 😀
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaaWanaweza geuka baada ya ndoa japo wenye wazazi wote wawili uogopa kuwaaibisha wazazi wao wanakuwa na maadili ya ndoa.
Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?Hao jamaa nao wana vituko. Why wanahangaika na wazazi badala ya kumu win binti kwanza?
Ama pia binti kama amenyooka na wewe mwanaume wazazi wake wanakujua na una nia ya kweli kumuoa huyo binti.
Unapeleka posa moja kwa moja nyumbani kwao bila kumtongoza msichana,, Binti akaikatae posa yako kwa wazazi wake kwamba hakutaki.
Hapo ndipo unajua haikuwa riziki yako
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaa
Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?
Na hii vita ni ya chinichini hata wazazi sijajua kama washajua wanaandaliwa kimtego, haya mambo yapo hasa kwa mabinti wa kiislam na kiarabu
Asante kipenzi nimekuelewa 😊🤗...barikiwa sana🙏🏼Leejay49
Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.
Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku
Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.
Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.
mitume na manabii wa uongo wanatumia huo msemo ili kuwavuta waendelee kupiga pesa zenu
NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
Sasa nimekuelewa rafiki yangu...barikiwa sana😊🤗Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.
Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku
Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.
Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.
NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
Sawasawa....Asante kwa ushauri 😊🤗Nipo hapa Usipate tabu , Karibu koridon tuyajenge magorofa
Sitaki kunyanyaswa😃😃😃🤣🤣🤣🙌Hela haifanyi tendo la ndoa 😀
Kwahiy unaoa ili ukilazwa upate mtu wa kukutawaza?Ulishawahi kujiuliza, ukiwa umelazwa hospitali na ukawa unajisaidia haja kubwa pale, ni yupi atakayekuwa anakusafisha?
Hahaha😂😂😂, sio kweli ☺️wale wa 50/50 😀😀
Tusubiri majibu kutoka kwa wananzengo 😀Kwahiy unaoa ili ukilazwa upate mtu wa kukutawaza?
Mmeo utamtesa sana ukiwa na hela 😀Hahaha😂😂😂, sio kweli ☺️
Basi sawa ngoja niache kutafuta😃😃Mmeo utamtesa sana ukiwa na hela 😀
Vyote ni vya muhimuBasi sawa ngoja niache kutafuta😃😃
Mbona unanichanganya sasa 🥴🥴🤔Vyote ni vya muhimu
Mbona unanichanganya sasa 🥴🥴🤔
Waongeaji hawafai kabisaUmemaliza Kila kitu ila umesahau asiwe mwongeaji mithili ya kiredio
Inaonekana hayo ni mapungufu ya uliye naeNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.