Wadada wanaofaa kuolewa

Kupata mdada wa kukufanyia hayo yote ni nadra sana, wadada wengi wa sahivi ukiwatongoza, Kichwani wanajiuliza watafaidika vipi kipesa wakiwa na wewe kwenye hayo mahusiano, baadala ya kuwaza future yenu mtaijenga vipi pamoja.

in fact kwa sasahivi, naturally wadada wengi hawapendi kujipikia chakula chao wenyewe, achilia mbali kumpikia mume/boyfriend, sasa mtu Yeye mwenyewe kujipikia hapendi, anaona uvivu, ndio atampikia mume??

Mtu anabwia Serengeti lite kumi na kuvuta shisha unategemea aje awe mke wa maana heheeeee Equation x Leejay49 Ms eyes
 
Wapo sana...sema tu na nyie hamueleweki sikuizi,, mtu anaweza akajitoa kwa moyo wake wote kukufanyia hayo na bado mkamuona the cheapest
 
Mwanamke wa namna hii Mimi simtaki, coz itakua ngumu kumuacha
 
Anaweza akafake hayo yote hapo halafu mseme wamewabadilikia kwenye ndoa...Anyways tumekusikia😌😊
Ni kweli mie sipiki,sifui,simpi ovyo mie hanilipi muda wangu ,sipiki kila siku kwani ni lazima eti nimfulie kwani wadada wakufua hawapo,tulifaga hivi wakaolewa wengine .so saivi unatumia vile ulivyovikuta visafi na unafua unaondoka karibuni naenda
 
Ni kweli mie sipiki,sifui,simpi ovyo mie hanilipi muda wangu ,sipiki kila siku kwani ni lazima eti nimfulie kwani wadada wakufua hawapo,tulifaga hivi wakaolewa wengine .so saivi unatumia vile ulivyovikuta visafi na unafua unaondoka karibuni naenda
Ndio....tunatumia tulivyovikuta visafi na kusepaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo sifa ni semi primary.. na ni very useful.

Bahati mbaya au nzuri sina huo mpango wa kuoa.. ingawa natamani nipate mahusiano strong na sio NDOA.

Ndoa ni utapeli na utumwa.

Nirudi ktk Mada.

Umezungumzia mengi ila jambo la KUJISTIRI hujaligusia sana.

Mwanamke anaejistiri naamini 50% ni wife material.. hizo 50% ndio za kijasusi zaidi kutaka kuzijua zinafix wapi.
 
Baadhi ya wanawake WAKIZAZI hiki waliowengi wanakosea ....
Utaona wanawake wanafanya bidii na kuhamasishana kuwa na Tabia za kiume..
Inamaana tunaenda kuwa na wanawake wenye tabia za kiume na hivyo kukosa wanawake wenye tabia za kiuwanawake, na ndio sababu hawawezi kuishi kwenye Ndoa. (mafahali wawili hawakai zizi moja)
Wanawake wanatakiwa wajitambue kuwa, mwanamke mwenye tabia za kiumwanamke ni sifa nzuri sana na inayopendwa lakini pia iliyo himizwa hata kwenye vitabu vyote vya Dini (Quran na Biblia)
 
Mwanamke wa hivyo kwa dunia ya sasa hayupo kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…