Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
VINA MUDAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously? Utakuwa Nani sasa maana kwa mwanaume sie, au wewe ndio wale waliotajwa kwenye ule uzi na yule Jamaal?Ndio
Hahah😂😂,, natafuta kwanza hela 😃😃Kwa hio sasa hivi unapiga mark time kwanza
Wanaopata shida ni huo uzao wako, kuwanyandua na kuwazalisha sio issue, issue ni hao watoto mnaowapata.Dadadeki hawa ngedere na tumbili wa zama hizi hawana hata robo ya hizo sifa, acha tuwanyandue na kuwafanya masingle mother
Wapo sana...sema tu na nyie hamueleweki sikuizi,, mtu anaweza akajitoa kwa moyo wake wote kukufanyia hayo na bado mkamuona the cheapestKupata mdada wa kukufanyia hayo yote ni nadra sana, wadada wengi wa sahivi ukiwatongoza, Kichwani wanajiuliza watafaidika vipi kipesa wakiwa na wewe kwenye hayo mahusiano, baadala ya kuwaza future yenu mtaijenga vipi pamoja.
in fact kwa sasahivi, naturally wadada wengi hawapendi kujipikia chakula chao wenyewe, achilia mbali kumpikia mume/boyfriend, sasa mtu Yeye mwenyewe kujipikia hapendi, anaona uvivu, ndio atampikia mume??
Mtu anabwia Serengeti lite kumi na kuvuta shisha unategemea aje awe mke wa maana heheeeee Equation x Leejay49 Ms eyes
Jesusssssssssssssssssssssssssss
Mwanamke wa namna hii Mimi simtaki, coz itakua ngumu kumuachaNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Ni kweli mie sipiki,sifui,simpi ovyo mie hanilipi muda wangu ,sipiki kila siku kwani ni lazima eti nimfulie kwani wadada wakufua hawapo,tulifaga hivi wakaolewa wengine .so saivi unatumia vile ulivyovikuta visafi na unafua unaondoka karibuni naendaAnaweza akafake hayo yote hapo halafu mseme wamewabadilikia kwenye ndoa...Anyways tumekusikia😌😊
Anaboa sana ujue mi ananikera sanaInashashangaza sana mwanaume kujisifu kunyandua na kuzalisha hovyo! Kwamba wewe upo okay kuwa na watoto hovyo na kila mwanamke?
Ndio....tunatumia tulivyovikuta visafi na kusepa😂😂Ni kweli mie sipiki,sifui,simpi ovyo mie hanilipi muda wangu ,sipiki kila siku kwani ni lazima eti nimfulie kwani wadada wakufua hawapo,tulifaga hivi wakaolewa wengine .so saivi unatumia vile ulivyovikuta visafi na unafua unaondoka karibuni naenda
Baadhi ya wanawake WAKIZAZI hiki waliowengi wanakosea ....Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
Mwanamke wa hivyo kwa dunia ya sasa hayupo kaka.Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

Wewe wasema na huo ni ushuzi tu unautoaWanaopata shida ni huo uzao wako, kuwanyandua na kuwazalisha sio issue, issue ni hao watoto mnaowapata.
Mnaelewa maana ya huu msemo au mmekaririshwa na wapiga pesa huko?Tumeambiwa hawai wala hachelewi[emoji4][emoji847]
For real, nakazia.Wapo sana...sema tu na nyie hamueleweki sikuizi,, mtu anaweza akajitoa kwa moyo wake wote kukufanyia hayo na bado mkamuona the cheapest