Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Naachaje kwa mfano kuwaletea🤗🤗Kazi kwako, ukumbuke kutuletea kadi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naachaje kwa mfano kuwaletea🤗🤗Kazi kwako, ukumbuke kutuletea kadi 😀
Ipo hiyo, kuhudhuria ibadaVipi sijaona kuhusu kumcha Mungu au mimi ndio nimesoma juu juu Wakuu?
Mm kila ninaekutana nae hana ht Moja ya sifa ulizotaja, sielew kwann kwakweli [emoji41]Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
[emoji23] sample Moja mbovu hii
Dunia bado ina watu wengi, ukikosa Tanzania, nenda ata IraqMm kila ninaekutana nae hana ht Moja ya sifa ulizotaja, sielew kwann kwakweli [emoji41]
Unatuletea lini?Naachaje kwa mfano kuwaletea🤗🤗
Dah, sikuona kabisa hapo ya mwisho. Mawazo yalibaki kwenye uvaaji wa khanga 😂😂Ipo hiyo, kuhudhuria ibada
Iraq mbali ngoja niende ht Somalia tu hp jiraniDunia bado ina watu wengi, ukikosa Tanzania, nenda ata Iraq
Tulia wewe 🤨😂😂🙌Unatuletea lini?
Kupata mtu sahihi lazima uzunguke, usifanye maamuzi ya haraka kwa sababu labda ni jirani yakoIraq mbali ngoja niende ht Somalia tu hp jirani
Dah, sikuona kabisa hapo ya mwisho. Mawazo yalibaki kwenye uvaaji wa khanga 😂😂
Tatizo unafukuza wachumba wa maana kwa kujifungia chumbani 😀Tulia wewe 🤨😂😂🙌
Ile inatafsiri kujali☝😊kasoro tu hiyo ya kwenda mfanyia usafi jamaa mmmh hapo mbombo ngafu
Sawa ngoja niache 😃😃🤭Tatizo unafukuza wachumba wa maana kwa kujifungia chumbani 😀
Lakini sio sababu ya msingi ya mwanaume kuoa. Na hayo ni secondary duties za mwanamke kwa ndoa. Primary duty ni kuvua kyupi agegedweHizo sifa zina nguvu sana kuliko mlango wa chini
NdioWewe sio mwanamke?
Kuna umri ukifika tendo linakuwa si la kupewa kipaumbele sanaLakini sio sababu ya msingi ya mwanaume kuoa. Na hayo ni secondary duties za mwanamke kwa ndoa. Primary duty ni kuvua kyupi agegedwe
Kuna umri ukifika tendo linakuwa si la kupewa kipaumbele sana
Kwa hio sasa hivi unapiga mark time kwanzaKwakweli nitafanya hivyo, nitakapohitaji ndoa😊🤗