Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

hAwasumbui,tatzo tu ni huyo mwenye maneno sana ujuaji wakati mimi ndo kila kitu kwake kwasasa,ila huwa namuacha aongee maana najua huo ni aina ya upendo kama angekuwa hanipend bas asingekuwa anajisumbua na mimi
Kuna wengine wanachosha mpaka unakuwa hutamani kurudi nyumbani
 
Abee
Eti wa kuolewa waweje?
Me mbona siko hivyo ila jf imeshanipatia mume na danga vyote kwa pamoja ...kazi ni kujigawa tu mda gani wa danga na mda gani wa main road
Kuna kuolewa na kuna kuishi maisha ya ndoa; kama hizo sifa huna, na kwa bahati mbaya umeolewa, hiyo itakuwa ni ndoa ya kwenye makaratasi tu, ila kwa mme moyo utakuwa unateseka
 
Kuna kuolewa na kuna kuishi maisha ya ndoa; kama hizo sifa huna, na kwa bahati mbaya umeolewa, hiyo itakuwa ni ndoa ya kwenye makaratasi tu, ila kwa mme moyo utakuwa unateseka
Kwan amenioa nikapike?? Kupikiwa ni offer tu huwa tunatoa....
 
Back
Top Bottom