Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #161
Na ubishi wao ndio unaowafanya wazeeke wakiwa singoHayanaga muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishis sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ubishi wao ndio unaowafanya wazeeke wakiwa singoHayanaga muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishis sana...
Usipoteze muda boss me sina hivyo vigezoNatumia vipimo vingi ili kujiridhisha
Amekuoa ili ukafanye nini?Kwan amenioa nikapike?? Kupikiwa ni offer tu huwa tunatoa....
Utavipata liniUsipoteze muda boss me sina hivyo vigezo
Jua tu hilo wewe ni cha woteUnamchukiaje mme wa mtu mkuu 😀
Hahaha 🙌🤣🤣Amekuoa ili ukafanye nini?
Mwanaume anayejitambua atataka mke mwenye 'full package'; kwa sababu maisha ya ndoa sio kukata kiuno pekee; kuna kuugua na kukaa kitandani siku miezi n.k, sasa kama utakuwa unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakuwa akimsafisha?Alaf wanaume wanapofwata wanawake kuna vitu tofauti wanafwata kwa wanawake..
Yuko me anayempendea mwanamke mapishi
Yuko me anayempendea mwanamke sex
Yuko me anayempendea mwanamke appearance tu
Yuko anayependa kingine n.k n.k
Sasa kupanga ni kuchagua kama ulinipendea lingine alaf tumefika ndoani unadai biriani utabidi upambane na hali yako
Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tuMwanaume anayejitambua atataka mke mwenye 'full package'; kwa sababu maisha ya ndoa sio kukata kiuno pekee; kuna kuugua na kukaa kitandani siku miezi n.k, sasa kama utakuwa unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakuwa akimsafisha?
We vitafute kwa wengineUtavipata lini
Si kweli 😀Jua tu hilo wewe ni cha wote
Hii ndio inayopelekea kwa nyakati hizi, kati ya wanawake 10, 8 hawana ndoa wako singo.Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tu
Nitakuombea uvipate 😀We vitafute kwa wengine
Sijavitafuta ujueNitakuombea uvipate 😀
Ukifika 35 utavitafuta tu kwa lazimaSijavitafuta ujue
Unajuaje kama sijafikisha😆😆😆Ukifika 35 utavitafuta tu kwa lazima
Hatuelewi, tueleweshe mkuu[emoji2][emoji2][emoji848]
Kwenye kizazi cha kuanzia 1995 sahau hilo, halafu ndicho kinachosema kila siku kua kinataka mume Bora, unakutana na bindi kaondoka nyumbani kwao ana miaka 19,anaishi geto, akipika mala moja kwa wiki, vyombo vinakaa simu tatu havijaoshwa mpaka vinavunda, kila siku anaishi kwa kununua chips au chakula Cha kutolewa na ma boy , kizazi cha hovyo kinacho ishi kwa mifano ya maisha ya TikTok au tamthiliaNdoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.
Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima. Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi. Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela. Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana. Anapenda kushiriki ibada katika dini yakeKama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.
[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa huyu anatuliaje kwenye ndoa kwa mfano, hapo tu kasimama na kichwa pengine hata mumewe hajui