Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Alaf wanaume wanapofwata wanawake kuna vitu tofauti wanafwata kwa wanawake..
Yuko me anayempendea mwanamke mapishi
Yuko me anayempendea mwanamke sex
Yuko me anayempendea mwanamke appearance tu
Yuko anayependa kingine n.k n.k
Sasa kupanga ni kuchagua kama ulinipendea lingine alaf tumefika ndoani unadai biriani utabidi upambane na hali yako
 
Mwanaume anayejitambua atataka mke mwenye 'full package'; kwa sababu maisha ya ndoa sio kukata kiuno pekee; kuna kuugua na kukaa kitandani siku miezi n.k, sasa kama utakuwa unajisaidia haja kubwa pale, ni nani atakuwa akimsafisha?
 
Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tu
 
Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tu
Hii ndio inayopelekea kwa nyakati hizi, kati ya wanawake 10, 8 hawana ndoa wako singo.
 
Hatuelewi, tueleweshe mkuu[emoji2][emoji2][emoji848]

Katikati ya asubuhi na jioni kwa mwanadamu ni mchana, jiangalie kwa upeo wako wa kawaida je upo mchana, kama upo mchana tambua ndiyo wakati wako sahihi wa kutongozwa/kuolewa na wewe ndiye mwenyekufanya maamuzi sahihi na ya msingi sana.

Sisi wanaume hatutongozi binti aliyepo kwenye nyakati za asubuhi , jioni au usiku

Ukipuuza ipo siku Jua likizama utakuja kuuelewa na utakuwa umeshachelewa sana, achana na mitume na manabii wa uongo wanawapotezea muda.

Nb.. kumbuka kila jambo na wakati wake.

NIMETUMIA NYAKATI NA TAFSIDA KUKUFAFANULIA .
 
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.

Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
  • Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima.​
  • Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k​
  • Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa​
  • Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi​
  • Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani​
  • Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika​
  • Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k​
  • Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi.​
  • Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela.​
  • Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana.​
  • Anapenda kushiriki ibada katika dini yake​
Kama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.​
Kwenye kizazi cha kuanzia 1995 sahau hilo, halafu ndicho kinachosema kila siku kua kinataka mume Bora, unakutana na bindi kaondoka nyumbani kwao ana miaka 19,anaishi geto, akipika mala moja kwa wiki, vyombo vinakaa simu tatu havijaoshwa mpaka vinavunda, kila siku anaishi kwa kununua chips au chakula Cha kutolewa na ma boy , kizazi cha hovyo kinacho ishi kwa mifano ya maisha ya TikTok au tamthilia

Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom