Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii. Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.

cheka tu.jpg

 
Ukiona mtu anakomalia kusema watu ni wajinga basi chunguza vizuri utanambia kama sio zezeta ni popoma mmoja anaekaa kwa shemeji yake
Jamaa anajikutaga sana kumbe ni fala tu mi namwacha na hayo maakili yake ya vitini
 
Back
Top Bottom