Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

Wadada wanapenda watu wa namna hii kwenye mahusiano

Vp weekend imeendaje huko
Tupo tu tunaburudika na chatgpt hapa inanilewesha hii kitu asee 😒🤔🤔🤔 yaani ni kama robot

Sema inanisaidia kwenye masomo yangu

Vipi huko ndugu hukuenda kidimbwi kweli ww 😲😲🤗
 
Amna leo sikuwa na mudi ya chochote zaidi ya kuingia humu jf 😊
Oh sawasawa kwaiyo kesho job sio unaenda kukutana na boss 🤯🤯🤯🤯 atingishe ubongo kidogo

Daa lkn jtatu zinaboaga sana 😹😒

Au uongo?
 
Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii.
Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.

View attachment 2547828
Hiyo si misuli iliyotokana na masaa mengi ya mazoezi , hawa watu huwa wanachoma aina fulani ya mafuta kwa jina "synthol" ambayo ni mabaya kwa mwili maana huganda na kusababisha mishipa kushindwa kusambaza damu ipasavyo kitu kitakachopelekea madhara kama muscle fibrosis , kuoza kwa misuli ndani kwa ndani (internal tissue necrosis) na mbaya zaidi ni kupoteza viungo .

N.b
Wabeba vyuma wengi nchi za nje huwa wanayatumia kwa kiwango kidogo kufanya misuli yao ionekane mikubwa zaidi (temporary implant) .

Kiafya si mazuri.
 
Back
Top Bottom