Jitu la hivo siwez aiseh.Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii.
Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
View attachment 2547828
Itakuwa aina ya mazoezi wanayofanya
Hawa ndio wale wenye tail mbele?Wadada wenyewe
View attachment 2548137
Hivi huyu ni ke kweli [emoji848][emoji848][emoji848]Wadada wenyewe
View attachment 2548137
Anakuwa anakubeba bebaJitu la hivo siwez aiseh.
Me mwenyewe mbavu mbili alf nikawe na dude la hivo.Anakuwa anakubeba beba
Slim pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee CP eti nn
Wewe kama mdada unawapenda usidhani ni wote. Hebu muangalie baba yako na wajomba zakoEti wadada wanapenda wanaume wa namna hii.
Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
View attachment 2547828
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me masela wenye vifua vikubwa hata hawanitishi...85% huwa wanakua mashoga na wanapumuliwa sana tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me mwenyewe mbavu mbili alf nikawe na dude la hivo.
Na hiki kichwa panzi changu nijikute namjibu vby anipasue pua hapana aiseh.
Michicha mwiba yote hiyo, majoka ya kibisa [emoji23] sasa wakiweza sana ni baada ya chali kimoko!Eti wadada wanapenda wanaume wa namna hii.
Sisi wenye vifua kama chaga za kitanda hawatutaki, kisingizio eti hatuwezi kupambana na adui pale atakapotokea.
View attachment 2547828
Kwahiyo wachangiaji wote ni wajinga? [emoji23]Huu uzi uta trend kwakuwa ni wakijinga