Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Huyo rafiki bado yumo humu?
 
Nifah mbona hayupo? kutangazwa kote huko anadate na the bold lakini hamumtaji?

Vipi kuhusu Nifah!

Dume la mbegu

Haaaa..... [emoji15] [emoji15]

Nifah dume mbegu hapo siamin na vip kuhusu binamu warumi
Wapendwa...siwezi kutumia nguvu nyingi kudhihirisha jinsia yangu.
Sioni haja wala sina sababu ya kufanya hivyo.
Endeleeni kumsoma Nifah kama Nifah.
Asanteni.
 
Hivi lakini mtu unadanganya jinsia yako ili iweje? Nashindwa kuelewa kwa kweli mambo mengine ni ya ajabu sana.
 
Hahahaa
Mimi toka mwaka juz kuna jamaa alikuwa ana sema kwa nini usijiunge jf kwa kuwa unapenda politics ni mtandao mzuri sana huo, nikawa staki, so nika kwa napitia opera kama guest kuanzia mwaka huu kama mwez wa nne hivi, bas badala ya kwenda politics nkashangaa na fall inluv na MMU na michezo hizo politics nikasahu.
Hahaha aah nilipo ingia tuu moja kwa moja ni kutafuta wanako kuepo kina atoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…