Haaaa tumeshangaana mkuu... Sijawahi jua hilo ndio kwanza unanijuza hapa. [emoji85]Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..
Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaaa tumeshangaana mkuu... Sijawahi jua hilo ndio kwanza unanijuza hapa. [emoji85]
nafurahi wanavyosema mm mwanaume anaenijua anatoshashunie
nifah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ngoja nifungue uzi wa ma shemale wenzangu
sisi ni wanaumeMpaka sasa Shunie na Miss Natafuta hawajatajwa,je wao ni Me?
kwambakuna mtu amekudhibitisha tayari...
Apo "anajifanyisha" unataka kusemaje kwamfano[emoji87] [emoji4]Hakuna nia/lengo baya hapa...
ila kusocialize kwa asili ni vizuri!!
unamganda mtu kwenye huu mjumuiko kumbe anajifanyisha sio vizuri.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]
unaona mtu ana ID ya kike, afu mna interact kikawaida tu , kumbe sio mwanamke...ni mwanaume anajifanyisha mwanamke.Apo "anajifanyisha" unataka kusemaje kwamfano[emoji87] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Ahahaaaaa....atakuwa fisadi wa ubuyu huyo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby this is too much oooooooMkewangu akijua jinsia yangu inatosha..
Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby this is too much ooooooo
Aise ngoja namie nifanye huo mchezo. Inaelekea mtamu sana huounaona mtu ana ID ya kike, afu mna interact kikawaida tu , kumbe sio mwanamke...ni mwanaume anajifanyisha mwanamke.
nimesikia kuna wengine humu anajitongoza mwenyewe.
anajikubaliana mwenyewe.
Umenifurahisha sana my sweet darling[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha nikae kimya mama hahahahaha
Awwwwwwww tunakupenda pia mpenzi Valentina [emoji8]
Duuuuh hiv yuko wap huyu kitambo sana!!
Afadhal mwanamke kujifanya mwanaumeKwa mwanaume kujifanya mwanamke ni Fedheha kubwa!