Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..

Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
Haaaa tumeshangaana mkuu... Sijawahi jua hilo ndio kwanza unanijuza hapa. [emoji85]
 
Hakuna nia/lengo baya hapa...
ila kusocialize kwa asili ni vizuri!!
unamganda mtu kwenye huu mjumuiko kumbe anajifanyisha sio vizuri.

[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBaCkBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDenaAmsi[/HASHTAG]
 
Apo "anajifanyisha" unataka kusemaje kwamfano[emoji87] [emoji4]
 
Apo "anajifanyisha" unataka kusemaje kwamfano[emoji87] [emoji4]
unaona mtu ana ID ya kike, afu mna interact kikawaida tu , kumbe sio mwanamke...ni mwanaume anajifanyisha mwanamke.

nimesikia kuna wengine humu anajitongoza mwenyewe.
anajikubaliana mwenyewe.
 
Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..

Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baby this is too much ooooooo
 
unaona mtu ana ID ya kike, afu mna interact kikawaida tu , kumbe sio mwanamke...ni mwanaume anajifanyisha mwanamke.

nimesikia kuna wengine humu anajitongoza mwenyewe.
anajikubaliana mwenyewe.
Aise ngoja namie nifanye huo mchezo. Inaelekea mtamu sana huo
 
Back
Top Bottom