FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Haaaa tumeshangaana mkuu... Sijawahi jua hilo ndio kwanza unanijuza hapa. [emoji85]Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..
Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??