Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu nitumie zawadi yangu aisee.Vp usharud CBD... Zawad yako bado ipo japo mvua zimekataa[emoji13] [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nitumie zawadi yangu aisee.Vp usharud CBD... Zawad yako bado ipo japo mvua zimekataa[emoji13] [emoji13]
Mi ni zaidi yake [emoji23]
Mbona unanitisha tena!!Mi ni zaidi yake [emoji23]
HehehehehehMbona unanitisha tena!!
[emoji394] [emoji394] [emoji41]Hebu nitumie zawadi yangu aisee.
Huyo rafiki bado yumo humu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mie niliufahamu kwasababu ya rafiki yangu mmoja hv, yaani alikuwa adicted na jf, hadi saa8 usiku yupo humu alafu anacheka tu mwenyewe, ndio kumuuliza akaniambia kuna mtandao unaitwa jf, nikamuuliza ni kama fb(as haukuwahi kunivutia) acha aumwagie sifa, ndio nikavutika kujiunga hadi leo.
Wahovyo sana afu hamna story story mule wala udaku... Maneno kadhaa tu mwisho.Hahaha
Yaan bos mtandao mgumuuu ule sja wahi ona ndio maana wabongo atuez
Ngoja nitatafuta mtaalamu zaidi yako.Heheheheheh
Sasa ndio kusema?[emoji394] [emoji394] [emoji41]
Alafu mara ni jike mara ni dume, anajisahau anajikuta dume, akikumbuka anajishangaa tena kawa jike, yaani dina ni jipu.Hahaaa
Ila wewe mwenzangu ni shda
Naskia una andika unajipa na like kabsa kwa id nyengne
Bahati yako sikujui ungekua No 1 kwenye list yangu.Fanya fasta nasubiri
Ndo kusema sna access ya chochote zaid ya id na tedybia lako.. [emoji17]Sasa ndio kusema?
Nifah mbona hayupo? kutangazwa kote huko anadate na the bold lakini hamumtaji?
Vipi kuhusu Nifah!
Dume la mbegu
Haaaa..... [emoji15] [emoji15]
Wapendwa...siwezi kutumia nguvu nyingi kudhihirisha jinsia yangu.Nifah dume mbegu hapo siamin na vip kuhusu binamu warumi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo kusema sna access ya chochote zaid ya id na tedybia lako.. [emoji17]
Nfah kidume cha mbegu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wapendwa...siwezi kutumia nguvu nyingi kudhihirisha jinsia yangu.
Sioni haja wala sina sababu ya kufanya hivyo.
Endeleeni kumsoma Nifah kama Nifah.
Asanteni.
Hahahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]