Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wanajitoaga akili tu wwakiwa humu... Mi nawafahamu wawili kwa kuonana na kuongea... VYUMA HASWA.... lakini niliporudi kusoma makomenti yao nikachoka
Humu lazima uwe fyatu, ukiwa timamu sana upawezi, humu sio kwa mchezo mchezo mkuu
 
Mi siwaachi... wapo wengine wanajitongoza wenyewe... Anatumia ID yake ya Kike au kiume kuitongoza ID nyingine...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Screenshot_20161230-001107.png
 
Kuna pini hyo huwez amin fujo zake humu duu, but Xmas kanywea nkawa namuuliza vip umenywea, et anajb kawaida tuu lool!!! Wallah JF kuna vyuma!!!
 
Back
Top Bottom