Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Nilikustua atoto ukaniambia kha! Niko busy siku nzima nikirudi nimechoka huo muda na nguvu ya kuingia jambo forums nitavipata wapi![emoji1][emoji1][emoji1]

Mbona mmi hukunistua?
 
hapo kwa list mtam yupi nilianzishe mwaka mpya mchuchu unapaswa uwe ng'ari ng'ari
 
Nilikustua atoto ukaniambia kha! Niko busy siku nzima nikirudi nimechoka huo muda na nguvu ya kuingia jambo forums nitavipata wapi![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji134] [emoji134]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
CHIKIRA MTABARI asikose alianzisha hadi uzi.
hahahahah aisee, mimi mwanamke jamani ndio maana kweli niliweka uzi maana wengi walikuwa wanaingia inbox kuniulizia kuwa mimi ni jinsi ipi. Ahsante Castr kwa kunisaidia kuliweka wazi
 
nakukana wapi ww hufahamiani na member yoyote humu, na kuna sehemu unaandika kiume kabisa kwanini tusiwe na mashaka? hapo naona avatar nzuri, jina zuri navutiwa kuchat na ww kumbe dume, yafaa nini sasa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mapenzi yana nguvu, ukasahau siasa kabisaaa.
Mie alikuwaga ananikosha lara 1 na mada zake na alivyokuwa anapangua comments, ndio alinivutia kujiunga humu.

Narudi upya 2017 Heheheeee! Ngombe nishazeeka maini yote
 
Kaka una bahati wewe mpaka naona wivu....mimi kila nikipangana nao wanaingia mitini kasoro mmoja tuu hapo
Dah... Professeur... Yaani unauza zote bila kujibakishia mwenyewe ?? Nipm nikugawie ya "mvuto"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom