Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Hii imezoeleka na sasa hivi imeshakuwa kama kawaida yetu wanaume wote kuambiwa tunapenda kutest mitambo hata kabla ya chochote kile,sawa tumekubali hii kwetu (hasa mimi) kukaa na wewe kama kaka na dada eti nasubiri siku ya ndoa ndio tukwichi kwichi Uvumilivu na ujinga huo sina. Nikae nasubiri siku ya ndoa ifike nije nikute hauna K (mi nitafanyaje).

Haya tutoke huko, leo naomba tu nyie wadada/wanawake muwe wakweli na mseme ile inayotoka chini ya uvungu wa nyoyo zenu, hivi ikitokea ukapata mpenzi (kama mnavyotaka) yule asietaka SEX kabisa kabla ya ndoa,akawa anakupa kila kitu,anakufanyia kila kitu yani hizi "material things" unapata zotee,upendo unapewa woteee ila/Lakini huyu jamaa yeye swala la sex ni NO,sababu yake ni 1 tu hataki kukuchezea mpaka atakapokuoa uwe mke wake.

hilo halitoshi,hata wakati wakuoga kila mtu anaoga peke ake, ukivaa anatoka nje anakuacha ndani uvae,akivaa yeye anakwambia toka nje AVAE yani hataki uone utupu wake wala yeye hayuko tayari kuona utupu WAKO.

Ladies naombeni leo mseme ukweli ukipata aina hiyo ya mwanaume, Utaweza vumilia kama atakavyo mpenzi wako huyo? au utafanyaje? hebu semeni tu ukweli na Jamaa ndio mmeanza mahusiano mna miezi mi 3 sasa, mipango yenu ya ndoa anakwambia ni itapofika 2022 ndio atakuoa kwa harusi kubwa na nzuri.

Hebu tuelezane hicho kipengele mnakimudu vipii? Uongo ni DHAMBI mkumbuke.

Soma pia: Sitaki kulala (sex) nae mpaka ndoa lakini yeye haelewi hilo
 
Kwa sababu tayari umeshakubali kuwa ninyi wanaume hamuwezi kusubiri nikiona unataka kusubiri nitajiuliza UNAFICHA NINI???
Pia nitajiuliza mwanaume huyu katokea sayari gani??? Isijekuwa ni jini
( Samahani komenti imejiandika)
 
Back
Top Bottom