Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Kwa sababu tayari umeshakubali kuwa ninyi wanaume hamuwezi kusubiri nikiona unataka kusubiri nitajiuliza UNAFICHA NINI???
Pia nitajiuliza mwanaume huyu katokea sayari gani??? Isijekuwa ni jini
( Samahani komenti imejiandika)
Wewe ndiye mwanamke halisi. Na huo ndiyo uhalisia wa wanawake.
Mwanaume akitaka mapema mnaleta maswali.
Mwanaume akitaka subira mnazua maswali pia