Wadada/wanawake upo tayari kukaa bila ku test mitambo mpaka siku yenu ya ndoa?

Hahahah kudadadeikii
 
Inawezekana una joto sana hali inayopelekea asikae muda mrefu
 
Hahahahah hawaeleweki hao na huyo kakudanganya
 
Wewe mbinguni tunaenda wote..yani nikikukosa pembeni ya kiti cha enzi nitashangaa sana.
 
Mimi pia imewahi nitokea hii na ni Almost people zote ninazokutana nazo

hunipiga fix kuwa "huu ni mwezi wa 6 kama sio mwaka" unaenda hajakwichi kwichi

sinaga papara maana nasubiriaga tu nione vitendo,nishawahi ingia chimbo 1 hilo

nikakaa kama mwezi tu,huku nyuma nilikua naambiwa "nakufa nakufa" nikawa namuuliza

unakufa unaumwa? akasema hapana siumwi ila nimebanwa Fanya mpango UJE au NIJE MIMI

nikasema hapa nisipotimiza haja ya watu "nachapiwa", nika solve tatizo chap chap ila kichwani

nikawa nawaza sana "huyu mbona aliniambiaga anaweza kaa hata mwaka" ki ukweli hivi viumbe "sivielewi"
 

unaona mkuu hatari sana mkuu
 
Kwani tunatakiwa kukojoa ndani ya dkk ngapi
 
Kwa hiyo umeshindwa kumvulimia sababu amepelea dakika 2? Vipi ukimpata anayekwenda dakika 5 alafu akaparalize na aseweze kabisa kufanya hata dakika 0 je ndio utamuacha pia?

Ukipata tatizo ndoani sawa nitavumilia ila kwa sasa bado nna uwezo wa kuchagua na nachagua sanaaa. Matatizo yapo na tunavumiliana.
 
Inawezekana una joto sana hali inayopelekea asikae muda mrefu
Ivi wee unajua kusoma!! Nimekwambia alikua anakojoa kwa dk 1 tuu maana yake sikuwahi kupiz nikiwa nae. Sasa ulitaka nivumilie nn??
 
Vipi, unamudu dk 25 za zoezi? Hilo ni goli moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…