Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone?
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kukipenda kitu na kukihitaji.
Binafsi sipendi hela ila nazihitaji sana tu.

Ukikipenda kitu utafanya vyovyote, chochote, lolote ili ukipate.
Ila ukikihitaji utakuwa na subira na hautakuwa na papara. Utafuata utaratibu ili ukipate
 
Umepevuka sana kiakili 🤝
 
😂😂😂😂 hichi nacho ni kichaka cha kujifichia.

Sema nitatafuta Cha kwangu na sitamlemea yeyote.
 
Hongera sana,
 
Kupenda hela alivyomaanisha mtoa mada ni ile tabia ya wanawake kuitolea macho na kujipa haki ya kunufaika na pesa ya mwanaume

Uwe unapenda au unahitaji hela ilo halina shida kabisa ikiwa hela iyo unaitafuta kwa kufanya kazi halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…