Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
poapoapoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poapoapoa
Unataka kutuambia nini?? Sema haraka hamna muda wa kupoteza rafiki.....unasemaje?
ngoja na mi niwasubiri niwaone
😅😅😅😅 subiri watakuja
ilaaaaaaa😂😂😂View attachment 3101724
Sijui ni deni...!!!!
Nishamwambia mimi kawaida yangu "Ukitaka financial item yangu"
1. Tunakubaliana kiasi = bargaining
2. Halafu unakuja gheto kuchukua
Hata kama ni vocha ya Buku INATOLEWA GHETO.
Sasa kakomaaa nimtumie.
Wakati mimi hizo huduma za 150......# huwa sizitumii kwa mademu.
Mademu ni kuwapatia watakacho wakiwa gheto, NB:- Watakacho tulichoelewana.
#YNWA
#YANGA_BINGWA