View attachment 3101724
Sijui ni deni...!!!!
Nishamwambia mimi kawaida yangu "Ukitaka financial item yangu"
1. Tunakubaliana kiasi = bargaining
2. Halafu unakuja gheto kuchukua
Hata kama ni vocha ya Buku INATOLEWA GHETO.
Sasa kakomaaa nimtumie.
Wakati mimi hizo huduma za
150......# huwa sizitumii kwa mademu.
Mademu ni kuwapatia watakacho wakiwa gheto, NB:- Watakacho tulichoelewana.
#YNWA
#YANGA_BINGWA