Mkuu umeeleza vizuri sana vijana inabidi wachague.
Yaani Mama Msomi mwenye kazi anashinda kazini anarudi kachoka hoi bin taabani.
Sasa unataka akutandikie kitanda, akufurie nguo, akupikie chakula kizuri, afanye usafi wa ndani na mkae mezani mtazame Tv kwa mahaba huku kachoka?
Haiwezekani. Then baadae pesa yake nayo tena unataka mgawane?
Hapa utaishia kulalamika na kuona kuwa Mke ana dharau wala sio kweli.
**** wale wanauma wanaoa mwanamke Msomi wakitarajia kwamba watasaidiana majukumu ya nyumbani na uchumi.......huu ni uvivu wa kufikiri na ndio wanakuja na nyuzi za kutukana wanawake.
Mwanamke ni wa kuto*** tu na kukuzalia watoto na kupamba nyumba yako.
Makujumu mengine ni yako mwanaume.
Usipotambua hili lazima uje na Kauli ya KATAA NDOA.