haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa.
Wanaume wengi ni average sana ki muonekano na mvuto, hawako romantic na wako shakara baghara kwa kisingizio cha mwanaume kazi, hawana ile ya kuwashtua wadada wakiwaona kama wakinitazama mimi, wengine ni wachavu wachafu tu hata kuvaa vizuri shida. Hili linanifanya nizidi kuringa mana I know, am the rearly I am. Then nime note, wakaka wananishangaa zaidi na ku feel inferior than girls.
Kuna siku nitatuma full picture yangu, nitikise mji.