Jamaa huwa kwa kuringia urembo wako ni kiboko.Hongera sana kwa uzuri wako uliojaaliwa.Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa.
Wanaume wengi ni average sana ki muonekano na mvuto, hawako romantic na wako shakara baghara kwa kisingizio cha mwanaume kazi, hawana ile ya kuwashtua wadada wakiwaona kama wakinitazama mimi, wengine ni wachavu wachafu tu hata kuvaa vizuri shida. Hili linanifanya nizidi kuringa mana I know, am the rearly I am. Then nime note, wakaka wananishangaa zaidi na ku feel inferior than girls.
Kuna siku nitatuma full picture yangu, nitikise mji.
Ana Id ngapi huyo shemale?Siku mods wakiunga id's zako zote tutakimbiana humu
MojaAna Id ngapi huyo shemale?
Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa.
Wanaume wengi ni average sana ki muonekano na mvuto, hawako romantic na wako shakara baghara kwa kisingizio cha mwanaume kazi, hawana ile ya kuwashtua wadada wakiwaona kama wakinitazama mimi, wengine ni wachavu wachafu tu hata kuvaa vizuri shida. Hili linanifanya nizidi kuringa mana I know, am the rearly I am. Then nime note, wakaka wananishangaa zaidi na ku feel inferior than girls.
Kuna siku nitatuma full picture yangu, nitikise mji.
SWALI.Inafikirisha na Kutia ukakasi Sana Mwanaume Kutoka Haradhani mbele Ya Umma Kujitapa na kujisifia Yeye Ni Mzuri.
Au Mwanetu Ushaleft
Atakua Wa Dar Huyu Mikoani Sio Mikato YetuAibu Aibu Aibu kwa familia.......Hawa ndio unasikia Mchicha Mwiba
Inafikirisha na Kutia ukakasi Sana Mwanaume Kutoka Haradhani mbele Ya Umma Kujitapa na kujisifia Yeye Ni Mzuri.
Au Mwanetu Ushaleft?
Nilitegemea Wadada Weupe Waseme Wao Ni Bidhaa Adimu,Kumbe Na wanaume Weupe Na wao Ni Bidhaa Adimu😀😀😀Ama kweli nyinyi ni badhaa adimu hongereni