Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

Hela unazo?Tuanzie hapo kwanza!
 
Tayari hapa Mfumo umedukuliwa ...vipira vya breki ya ushuzi vimeisha. Mwanaume unajisifu mzuri!?? Rudisha kende hizo makao makuu...
 
Usalama upo kweli ? We mleta hii mada ? 🤔
 
Kwa hiyo wewe ni mzuri kama Anko T au umemzidi?
 
Nitamuita kiboko yako anayekuita beautiful boy akuchakaze.
 
Wanaume wanamiliki hao wadada wazuri kuanzia wawili na kuendelea.
 
Daahh..Soda haina Gesi...
Beki hazikabi ...
Msiba hauna turubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…