Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wadada, wembamba!
Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana.
Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma.
Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi.
Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na cargo..
Wanene naona kama haziwakahi vizuri sana nyie mnaweza jaribu something else...
Haya ni maoni binafsi, hayahusiani kabisa na kucheleweshewa mshahara.