Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

Wanavaa, waache kumuiga Qing Madi?

Tena kama hawa Gen Z? Crop top kali, ka nose ring, baggy cargo pants na raba kali preferably nyeupe.
Kichwani anakula dye vile vile.

Utamtaka.
 
Kuna Siku ilibaki kidogo niingize gari mtaroni Kwa kugeuza shingo kuangalia yaliyomo 🙌

Naunga mkono hoja yako kuhusu hilo vazi la Bwanga 😜
Kuna hii njia ya Survey kuja UDSM kutokea geti maji na kutembea service road ya kuja Magufuli hostel.

Utakuta wanafanya mazoezi wenyewe. Aisee.
 
Kuna Siku ilibaki kidogo niingize gari mtaroni Kwa kugeuza shingo kuangalia yaliyomo 🙌

Naunga mkono hoja yako kuhusu hilo vazi la Bwanga 😜
Ila kweli huwa tunapitia wakati mgumu sana.....kuna siku pia almanusraa niuvae mtaro aseee alipita mdada anafanya zoezi anakimbia barabarani, ile shape ilibidi nibaki kushangaa.

Wanaume tunapitia mambo magumu sana.
Bantu Lady
 
Back
Top Bottom