Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wadada, wembamba!

Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana.


Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma.

Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi.

Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na cargo..


Wanene naona kama haziwakahi vizuri sana nyie mnaweza jaribu something else...




Haya ni maoni binafsi, hayahusiani kabisa na kucheleweshewa mshahara.
 
Naona wengi zinawapendeza


Afadhali wengi wavae hivyo ili kutupunguzia ajali za kugeuza shingo kuwaangalia, maana zile skin jeans zao hata akiwa mwembamba unaweza kugeuza shingo kuangalia yaliyomo yamo πŸ™Œ
 
Naona wengi zinawapendeza


Afadhali wengi wavae hivyo ili kutupunguzia ajali za kugeuza shingo kuwaangalia, maana zile skin jeans zao hata akiwa mwembamba unaweza kugeuza shingo kuangalia yaliyomo yamo πŸ™Œ
Hahfa vinaitwa leggings zinakua na butt/ ass scrunch.. yaani uzi umeseparate L &R butt..


Yaani ata mtu awe Zuchu ataonekana Posh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…