Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

Waache kula wanga na sukari,mazoezi pekee hayatasaidia
 
Picha iko wapi
 
1.madawa ya kuzuia mimba (contraceptives),,, unakuta mtu anatumia emergency pills as birth controll kwa nn mtumbo wake usijae??

2.ulaji wa hovyo,,mnapenda kubugia chips mayai+mapombe bila mpangilio

3.Uvivu na lifestyle at general,,, unakuta umbali kdogo tu hawez kutembea anaita boda. Kuna office nlikuepo asee wanawake wote ile office wana vitambi kwanzia manager mpaka teller. Just assume asbuh anakuja kazn na gari, anakunywa chai, mchana chips, jion anapanda gari kurud home,.,...... Yaan mwili unakuwa totally idle!!!

Ila wanawake wenye vitambi wana appearance ya ajabu jaman yaani kitumbo mbele kama kichura fulan hv!!!!! Very boring

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta mdada ni mzuri mrembo safi ila akitembea katumbo kanatangulia mbele🤒🤒.. Hua najiuliza wanakulaga nini au ni uvivu tu hata wa kufanya mazoezi.

Wewe uliye na komwe kwani umelitoa wapi?
 
Sikuonaga hii comment, umenena vyema sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…